Psalms 50:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka Siyoni, mji mzuri mno, Mungu anajitokeza, akiangaza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka Sayuni, penye uzuri mkamilifu, Mungu anaangaza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tokea Sayuni, ukamilifu wa uzuri, Mungu amemulika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka Siyoni, mji mzuri mno, Mungu anajitokeza, akiangaza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka Sayuni, penye uzuri mkamilifu, Mungu anaangaza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka Sayuni, penye uzuri mkamilifu, Mungu anaangaza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tokea Sayuni, ukamilifu wa uzuri, Mungu ameangaza kote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka Siyoni, mji mzuri mno, Mungu anajitokeza, akiangaza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sioni ndimo, utokeamo uzuri usiopitika, maana ndimo, Mungu atokezamo mwangaza wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tokea Sayuni, ukamilifu wa uzuri, Mungu amemulika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka Sayuni, muji muzuri kupita kipimo, Mungu anajitokeza, akiangaza.