Psalms 50:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakaa kitako kumsengenya binadamu mwenzako, naam, kumchongea ndugu yako mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unamsengenya ndugu yako bila kukoma, na kumsingizia mwana wa mama yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umekaa na kumsengenya ndugu yako, Na mwana wa mama yako umemsingizia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakaa kitako kumsengenya binadamu mwenzako, naam, kumchongea ndugu yako mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanena daima dhidi ya ndugu yako na kumsingizia mwana wa mama yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanena daima dhidi ya ndugu yako na kumsingizia mwana wa mama yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umekaa na kumsengenya ndugu yako, Na mwana wa mama yako umemsingizia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakaa kitako kumsengenya binadamu mwenzako, naam, kumchongea ndugu yako mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukikaa na ndugu yako unamsengenya, naye mtoto wa mama yako unamtukana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umekaa na kumsengenya ndugu yako, Na mwana wa mama yako umemsingizia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unaikaa kitako kumuteta mwanadamu mwenzako, unamuchongea ndugu yako wa tumbo.