Psalms 50:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umefanya hayo yote nami nimenyamaa. Je, wadhani kweli mimi ni kama wewe? Lakini sasa ninakukaripia, ninakugombeza waziwazi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mambo haya unayafanya, nami nimekaa kimya, ukadhani Mimi ni kama wewe kabisa. Lakini nitakukemea na kuweka mashtaka mbele yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndivyo ulivyofanya, nami nikanyamaza; Ukadhani ya kuwa Mimi ni kama wewe. Walakini nitakukemea; Nitayapanga hayo mbele ya macho yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umefanya hayo yote nami nimenyamaa. Je, wadhani kweli mimi ni kama wewe? Lakini sasa ninakukaripia, ninakugombeza waziwazi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mambo haya unayafanya nami nimekaa kimya, ukafikiri Mimi nami ni kama wewe. Lakini nitakukemea na kuweka mashtaka mbele yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mambo haya unayafanya, nami nimekaa kimya, ukafikiri Mimi nami ni kama wewe. Lakini nitakukemea na kuweka mashtaka mbele yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndivyo ulivyofanya, nami nikanyamaza; Ukadhani ya kuwa Mimi ni kama wewe. Lakini nitakukemea; Nitakuhukumu kwa hayo yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umefanya hayo yote nami nimenyamaa. Je, wadhani kweli mimi ni kama wewe? Lakini sasa ninakukaripia, ninakugombeza waziwazi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo ndivyo, ulivyovifanya, nikavinyamazia; ndipo, uliponiwazia kuwa sawa kama wewe. Kwa hiyo ninakuonya nikivitolea machoni pako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndivyo ulivyofanya, nami nikanyamaza; Ukadhani ya kuwa Mimi ni kama wewe. Walakini nitakukemea; Nitayapanga hayo mbele ya macho yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umefanya hayo yote nami nimenyamaza. Unazani kwamba mimi ni kama wewe? Lakini sasa nitakukaripia, nitakugombeza waziwazi.