Psalms 50:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Fikirini vizuri jambo hili, enyi msionijali, la sivyo nitawaangamizeni, wala hapatakuwa na wa kuwaokoeni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Yatafakarini haya, ninyi mnaomsahau Mungu, ama sivyo nitawararua vipande vipande, wala hapatakuwa na yeyote wa kuwaokoa:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yafahamuni hayo, Ninyi mnaomsahau Mungu, Nisije nikawararueni, Asipatikane mwenye kuwaponya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Fikirini vizuri jambo hili, enyi msionijali, la sivyo nitawaangamizeni, wala hapatakuwa na wa kuwaokoeni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Yatafakarini haya, ninyi mnaomsahau Mungu, ama sivyo nitawararua vipande vipande, wala hapatakuwepo na ye yote wa kuwaokoa:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Yatafakarini haya, ninyi mnaomsahau Mungu, ama sivyo nitawararua vipande vipande, wala hapatakuwepo na yeyote wa kuwaokoa:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yafahamuni hayo, Ninyi mnaomsahau Mungu, Nisije nikawararueni, Asipatikane wa kuwaokoa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Fikirini vizuri jambo hili, enyi msionijali, la sivyo nitawaangamizeni, wala hapatakuwa na wa kuwaokoeni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nanyi mliomsahau Mungu, yatambueni, nisije kuwararueni, pasiwepo mponya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yafahamuni hayo, Ninyi mnaomsahau Mungu, Nisije nikawararueni, Asipatikane mwenye kuwaponya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mufikiri vizuri jambo hili, enyi musionijali, kama sivyo nitawaangamiza, wala hakuna atakayewaokoa.