Psalms 50:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayenipa shukrani kama tambiko yake, huyo ndiye anayeniheshimu; yeyote anayedumu katika njia yangu, huyo ndiye nitakayemwokoa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atoaye dhabihu za shukrani ananiheshimu mimi, naye aiandaa njia yake ili nimwoneshe wokovu wa Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atoaye dhabihu za kushukuru, Ndiye anayenitukuza. Naye autengenezaye mwenendo wake, Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayenipa shukrani kama tambiko yake, huyo ndiye anayeniheshimu; yeyote anayedumu katika njia yangu, huyo ndiye nitakayemwokoa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atoaye dhabihu za shukrani ananiheshimu mimi, naye aiandaa njia yake jinsi ipasavyo nitamwonyesha wokovu wa Mungu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atoaye dhabihu za shukrani ananiheshimu mimi, naye aiandaa njia yake ili nimwonyeshe wokovu wa Mungu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atoaye dhabihu za kushukuru, Ndiye anayenitukuza. Naye autengenezaye mwenendo wake, Nitamwonesha wokovu wa Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayenipa shukrani kama tambiko yake, huyo ndiye anayeniheshimu; yeyote anayedumu katika njia yangu, huyo ndiye nitakayemwokoa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kunishukuru ndio ng'ombe ya tambiko initukuzayo; hiyo ni njia ya kumwonyesha mtu wokovu wa Mungu.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atoaye dhabihu za kushukuru, Ndiye anayenitukuza. Naye autengenezaye mwenendo wake, Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayenitolea shukrani kama sadaka yake, huyo ndiye anayenitukuza; yeyote anayedumu katika njia yangu, huyo ndiye nitakayemwokoa.”