Psalms 50:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka juu anaziita mbingu na dunia; zishuhudie akiwahukumu watu wake:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Anaziita mbingu zilizo juu, na nchi, ili aweze kuwahukumu watu wake:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ataziita mbingu zilizo juu, Na nchi pia awahukumu watu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka juu anaziita mbingu na dunia; zishuhudie akiwahukumu watu wake:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Anaziita mbingu zilizo juu na nchi, ili aweze kuwahukumu watu wake:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Anaziita mbingu zilizo juu, na nchi, ili aweze kuwahukumu watu wake:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ataziita mbingu zilizo juu, Na nchi pia, ili awahukumu watu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka juu anaziita mbingu na dunia; zishuhudie akiwahukumu watu wake:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Anaziita mbingu huko juu, hata nchi za chini, zione, jinsi atakavyowaamulia walio ukoo wake:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ataziita mbingu zilizo juu, Na nchi pia awahukumu watu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka juu anaita mbingu na dunia kuwa washuhuda wake atakapowahukumu watu wake.