Psalms 50:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nikusanyieni waaminifu wangu, waliofanya agano nami kwa tambiko!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nikusanyieni watu wangu waliowekwa wakfu, waliofanya agano nami kwa dhabihu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikusanyieni wacha Mungu wangu Waliofanya agano nami kwa dhabihu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nikusanyieni waaminifu wangu, waliofanya agano nami kwa tambiko!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nikusanyieni watu wangu waliowekwa wakfu, waliofanya agano nami kwa dhabihu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nikusanyieni watu wangu waliowekwa wakfu, waliofanya agano nami kwa dhabihu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikusanyieni wacha Mungu wangu Waliofanya agano nami kwa dhabihu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nikusanyieni waaminifu wangu, waliofanya agano nami kwa tambiko!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakusanyeni kwangu wao wanichao, ndio waliofanya agano na mimi na kunitambikia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikusanyieni wacha Mungu wangu Waliofanya agano nami kwa dhabihu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye anasema: “Munikusanyie waaminifu wangu, waliofanya agano nami kwa njia ya sadaka!”