Psalms 50:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbingu zatangaza uadilifu wa Mungu; kwamba Mungu mwenyewe ni hakimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nazo mbingu zinatangaza haki yake, kwa maana Mungu mwenyewe ni hakimu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mbingu zitatangaza haki yake, Kwa maana Mungu ndiye aliye hakimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbingu zatangaza uadilifu wa Mungu; kwamba Mungu mwenyewe ni hakimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nazo mbingu zinatangaza haki yake, kwa maana Mungu mwenyewe ni hakimu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nazo mbingu zinatangaza haki yake, kwa maana Mungu mwenyewe ni hakimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mbingu zitatangaza haki yake, Kwa maana Mungu ndiye aliye hakimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbingu zatangaza uadilifu wa Mungu; kwamba Mungu mwenyewe ni hakimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mbingu zilipoutangaza wongofu wake, kwani Mungu aliye mwamuzi ndiye yeye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mbingu zitatangaza haki yake, Kwa maana Mungu ndiye aliye hakimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbingu zinatangaza haki ya Mungu; Mungu mwenyewe ndiye mwamuzi.