Psalms 50:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Sikilizeni watu wangu, ninachosema! Israeli, natoa ushahidi dhidi yako. Mimi ni Mungu! Mimi ni Mungu wako!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Sikieni, enyi watu wangu, nami nitasema, ee Israeli, nami nitashuhudia dhidi yenu: Mimi ndimi Mungu, Mungu wenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sikieni, enyi watu wangu, nami nitanena, Mimi nitakushuhudia, Israeli; Mimi ndimi niliye MUNGU, Mungu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Sikilizeni watu wangu, ninachosema! Israeli, natoa ushahidi dhidi yako. Mimi ni Mungu! Mimi ni Mungu wako!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Sikieni, enyi watu wangu, nami nitasema, Ee Israeli, nami nitawashuhudia dhidi yenu: Mimi ndimi Mungu, Mungu wenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Sikieni, enyi watu wangu, nami nitasema, ee Israeli, nami nitashuhudia dhidi yenu: Mimi ndimi Mungu, Mungu wenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sikieni, enyi watu wangu, nami nitanena, Mimi nitakushuhudia, Israeli; Mimi ndimi niliye MUNGU, Mungu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Sikilizeni watu wangu, ninachosema! Israeli, natoa ushahidi dhidi yako. Mimi ni Mungu! Mimi ni Mungu wako!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sikilizeni ninyi mlio ukoo wangu, niseme nanyi, ninyi Waisiraeli, niwashuhudie kwamba: Mungu aliye Mungu wako ndio mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sikieni, enyi watu wangu, nami nitanena, Mimi nitakushuhudia, Israeli; Mimi ndimi niliye MUNGU, Mungu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Enyi watu wangu, munisikilize, mimi Mungu, Mungu wenu! Ninataka kusema nanyi. Israeli, ninakuonya.