Psalms 50:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikukaripii kwa sababu ya tambiko zako; hujaacha kunitolea tambiko za kuteketeza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikukemei kwa sababu ya dhabihu zako, au sadaka zako za kuteketezwa, ambazo daima ziko mbele zangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sitakukemea kwa ajili ya dhabihu zako, Na kafara zako ziko mbele zangu daima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikukaripii kwa sababu ya tambiko zako; hujaacha kunitolea tambiko za kuteketeza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikukemei kwa sababu ya dhabihu zako, au sadaka zako za kuteketezwa, ambazo daima ziko mbele zangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikukemei kwa sababu ya dhabihu zako, au sadaka zako za kuteketezwa, ambazo daima ziko mbele zangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sitakukemea kwa ajili ya dhabihu zako, Na kafara zako ziko mbele zangu daima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikukaripii kwa sababu ya tambiko zako; hujaacha kunitolea tambiko za kuteketeza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa ajili ya ng'ombe zako za tambiko sikuonyi, ng'ombe za tambiko, ulizoziteketeza, ziko machoni pangu siku zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sitakukemea kwa ajili ya dhabihu zako, Na kafara zako ziko mbele zangu daima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikukaripii kwa sababu ya sadaka zako; haujaacha kunitolea sadaka za kuteketezwa.