Psalms 50:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa kweli sina haja na fahali wa zizi lako, wala beberu wa mifugo yako;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sina haja na fahali wa banda lako, au mbuzi wa zizi lako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sitatwaa ng'ombe katika nyumba yako, Wala beberu katika mazizi yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa kweli sina haja na fahali wa zizi lako, wala beberu wa mifugo yako;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sina haja ya fahali wa banda lako, au mbuzi wa zizi lako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sina haja ya fahali wa banda lako, au mbuzi wa zizi lako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sitatwaa ng'ombe katika nyumba yako, Wala beberu katika mazizi yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa kweli sina haja na fahali wa zizi lako, wala beberu wa mifugo yako;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sitachukua madume ya ng'ombe nyumbani mwako, wala mabeberu mazizini mwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sitatwaa ng’ombe katika nyumba yako, Wala beberu katika mazizi yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa kweli sihitaji ngombe dume wa zizi lako, wala beberu wa nyumba yako,