Psalms 51:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uniumbie moyo safi, ee Mungu, uweke ndani yangu roho mpya na thabiti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, uniumbie moyo safi, uifanye upya roho ya uthabiti ndani yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, uniumbie moyo safi, Uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uniumbie moyo safi, ee Mungu, uweke ndani yangu roho mpya na thabiti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu, uniumbie moyo safi, uifanye upya roho ya uthabiti ndani yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, uniumbie moyo safi, uifanye upya roho ya uthabiti ndani yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, uniumbie moyo safi, Uifanye upya na kuithibiti roho yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uniumbie moyo safi, ee Mungu, uweke ndani yangu roho mpya na thabiti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nipe, nisikie tena shangwe za furaha, mifupa, uliyoivunja, ipige vigelegele!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, uniumbie moyo safi, Uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unijaze furaha na shangwe, unifurahishe tena, mimi ambaye uliniponda.