Psalms 51:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unifanye nifurahi tena kwa kuniokoa, utegemeze ndani yangu moyo wa utii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unirudishie furaha ya wokovu wako, unipe roho ya utii, ili initegemeze.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Unirudishie furaha ya wokovu wako; Unitegemeze kwa roho ya wepesi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unifanye nifurahi tena kwa kuniokoa, utegemeze ndani yangu moyo wa utii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unirudishie tena furaha ya wokovu wako, unipe roho ya utii, ili initegemeze.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unirudishie tena furaha ya wokovu wako, unipe roho ya utii, ili initegemeze.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Unirudishie furaha ya wokovu wako; Unitegemeze kwa roho ya upendo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unifanye nifurahi tena kwa kuniokoa, utegemeze ndani yangu moyo wa utii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu, niumbie moyo utakatao! Nayo roho uirudishie upya kifuani mwangu, ipate nguvu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Unirudishie furaha ya wokovu wako; Unitegemeze kwa roho ya wepesi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, uniumbie moyo safi, uweke ndani yangu roho mupya na inayoimarika.