Psalms 51:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo nitawafunza wakosefu njia yako, nao wenye dhambi watarudi kwako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo nitakapowafundisha wakosaji njia zako, na wenye dhambi watarejea kwako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitawafundisha wakosaji njia zako, Na wenye dhambi watarejea kwako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo nitawafunza wakosefu njia yako, nao wenye dhambi watarudi kwako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo nitakapowafundisha wakosaji njia zako, na wenye dhambi watakugeukia wewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo nitakapowafundisha wakosaji njia zako, na wenye dhambi watakugeukia wewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitawafundisha wakosaji njia zako, Na wenye dhambi watarejea kwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo nitawafunza wakosefu njia yako, nao wenye dhambi watarudi kwako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usinitupe na kuniondoa usoni pako, wala Roho yako takatifu usiitoe mwangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitawafundisha wakosaji njia zako, Na wenye dhambi watarejea kwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usinitupe mbali nawe; usiondoe roho yako takatifu ndani yangu.