Psalms 51:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uniokoe na hatia ya umwagaji damu, ee Mungu, Mungu mwokozi wangu, nami nitaimba kwa sauti kuwa umeniokoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, Mungu uniokoaye, niokoe na hatia ya kumwaga damu, nao ulimi wangu utaimba juu ya haki yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee MUNGU, Mungu wa wokovu wangu, Uniponye na damu za watu, Na ulimi wangu utaiimba haki yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uniokoe na hatia ya umwagaji damu, ee Mungu, Mungu mwokozi wangu, nami nitaimba kwa sauti kuwa umeniokoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu, Mungu uniokoaye, niokoe na hatia ya kumwaga damu, ulimi wangu utaimba juu ya haki yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, Mungu uniokoaye, niokoe na hatia ya kumwaga damu, nao ulimi wangu utaimba juu ya haki yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee MUNGU, Mungu wa wokovu wangu, Uniponye na umwagaji wa damu, Na ulimi wangu utaiimba haki yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uniokoe na hatia ya umwagaji damu, ee Mungu, Mungu mwokozi wangu, nami nitaimba kwa sauti kuwa umeniokoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nifurahishe tena na kuniokoa! Kwa kunipa roho ipendayo kutumika unishikize!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee MUNGU, Mungu wa wokovu wangu, Uniponye na damu za watu, Na ulimi wangu utaiimba haki yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unirudishie furaha ya wokovu wako, uniimarishe kwa Roho wako mwema.