Psalms 51:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uniwezeshe kusema, ee Bwana, midomo yangu itangaze sifa zako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Bwana, fungua midomo yangu, na kinywa changu kitatangaza sifa zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, uifumbue midomo yangu, Na kinywa changu kitazinena sifa zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uniwezeshe kusema, ee Bwana, midomo yangu itangaze sifa zako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, fungua midomo yangu, na kinywa changu kitatangaza sifa zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, fungua midomo yangu, na kinywa changu kitatangaza sifa zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Bwana, uifumbue midomo yangu, Na kinywa changu kitazinena sifa zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uniwezeshe kusema, ee Bwana, midomo yangu itangaze sifa zako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo nitawafundisha wapotovu njia zako, wakosaji wapate kurudi kwako wewe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Bwana, uifumbue midomo yangu, Na kinywa changu kitazinena sifa zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu nitawafundisha wakosaji njia zako, nao wenye zambi watarudi kwako.