Psalms 51:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa kweli wewe hupendezwi na tambiko, ama sivyo mimi ningalikutolea. Wewe huna haja na tambiko za kuteketezwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe hupendezwi na dhabihu, au ningeileta; hufurahii sadaka za kuteketezwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana hupendezwi na dhabihu, au ningeitoa, Wewe huridhii sadaka ya kuteketezwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa kweli wewe hupendezwi na tambiko, ama sivyo mimi ningalikutolea. Wewe huna haja na tambiko za kuteketezwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe hupendezwi na dhabihu, au ningaliileta, hufurahii sadaka za kuteketezwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe hupendezwi na dhabihu, au ningaliileta, hufurahii sadaka za kuteketezwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana hupendezwi na dhabihu, na kama ningeitoa, Wewe huridhii sadaka ya kuteketezwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa kweli wewe hupendezwi na tambiko, ama sivyo mimi ningalikutolea. Wewe huna haja na tambiko za kuteketezwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu, nikomboe katika manza za damu, nilizozikora! maana u Mungu aniokoaye, ulimi wangu ukushangilie kwamba: U mwongofu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana hupendezwi na dhabihu, au ningeitoa, Wewe huridhii sadaka ya kuteketezwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uniokoe kutoka kosa la kumwanga damu, ee Mungu, Mungu mwokozi wangu, nami nitaimba kwa sauti kwamba umeniokoa.