Psalms 51:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
tambiko yangu kwako ee Mungu, ni moyo mnyofu; wewe, ee Mungu, hukatai moyo mnyofu na mtiifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika; moyo uliovunjika wenye toba, ee Mungu, hutaudharau.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika; Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hutaudharau.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
tambiko yangu kwako ee Mungu, ni moyo mnyofu; wewe, ee Mungu, hukatai moyo mnyofu na mtiifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bali dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika, moyo uliovunjika wenye toba, Ee Mungu, hutaudharau.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika, moyo uliovunjika wenye toba, Ee Mungu, hutaudharau.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika; Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hutaudharau.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
tambiko yangu kwako ee Mungu, ni moyo mnyofu; wewe, ee Mungu, hukatai moyo mnyofu na mtiifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, ifumbue midomo yangu, kinywa changu kiyatangaze matukuzo yako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika; Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hutaudharau.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Bwana, uniwezeshe kusema, midomo yangu itangaze sifa zako.