Psalms 51:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mungu, upende kuutendea mema mji wa Siyoni; uzijenge tena upya kuta za mji wa Yerusalemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa wema wa radhi yako uifanye Sayuni istawi, ukazijenge upya kuta za Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uitendee mema Sayuni kwa radhi yako, Uzijenge kuta za Yerusalemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mungu, upende kuutendea mema mji wa Siyoni; uzijenge tena upya kuta za mji wa Yerusalemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa wema wa radhi yako uifanye Sayuni istawi, ukazijenge upya kuta za Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa wema wa radhi yako uifanye Sayuni istawi, ukazijenge upya kuta za Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uitendee mema Sayuni kwa radhi yako, Uzijenge kuta za Yerusalemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mungu, upende kuutendea mema mji wa Siyoni; uzijenge tena upya kuta za mji wa Yerusalemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hupendezwi na ng'ombe za tambiko, ningekupa; nayo ng'ombe ya tambiko iteketezwayo nzima huitaki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uitendee mema Sayuni kwa radhi yako, Uzijenge kuta za Yerusalemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli wewe haupendezwi na sadaka. Hautaki nikutolee sadaka za kuteketezwa.