Psalms 51:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo utapendezwa na tambiko za kweli: Sadaka za kuteketezwa na za kuteketezwa nzima; mafahali watatolewa tambiko madhabahuni pako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hapo ndipo kutakapokuwa na dhabihu za haki, sadaka nzima za kuteketezwa za kukupendeza sana, pia mafahali watatolewa madhabahuni mwako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo utakapopendezwa na dhabihu za haki, Na sadaka za kuteketezwa, na kafara. Ndipo watakapotoa ng'ombe Juu ya madhabahu yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo utapendezwa na tambiko za kweli: sadaka za kuteketezwa na za kuteketezwa nzima; mafahali watatolewa tambiko madhabahuni pako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hapo ndipo kutakapokuwa na dhabihu za haki, sadaka nzima za kuteketezwa za kukupendeza sana, pia mafahali watatolewa madhabahuni mwako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hapo ndipo kutakapokuwa na dhabihu za haki, sadaka nzima za kuteketezwa za kukupendeza sana, pia mafahali watatolewa madhabahuni mwako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo utakapopendezwa na dhabihu za haki, Na sadaka za kuteketezwa, na kafara. Ndipo watakapotoa ng'ombe Juu ya madhabahu yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo utapendezwa na tambiko za kweli: Sadaka za kuteketezwa na za kuteketezwa nzima; mafahali watatolewa tambiko madhabahuni pako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ng'ombe za tambiko, Mungu apendazo, ni roho ivunjikayo, moyo uliovunjika kwa kupondeka, wewe Mungu, hutaubeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo utakapopendezwa na dhabihu za haki, Na sadaka za kuteketezwa, na kafara. Ndipo watakapotoa ng’ombe Juu ya madhabahu yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sadaka ninayokutolea, ee Mungu, ni roho munyenyekevu. Haukatai moyo munyenyekevu na wa kutubu.