Psalms 51:2 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unioshe kabisa hatia yangu; unisafishe dhambi yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unioshe na uovu wangu wote na unitakase dhambi yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Unioshe kabisa na uovu wangu, Unitakase dhambi zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unioshe kabisa hatia yangu; unisafishe dhambi yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unioshe na uovu wangu wote na unitakase dhambi yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unioshe na uovu wangu wote na unitakase dhambi yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Unioshe kabisa uovu wangu, Unitakase dhambi zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unioshe kabisa hatia yangu; unisafishe dhambi yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa uchungu wako mwingi, unaotuonea, yafute mapotovu yangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Unioshe kabisa na uovu wangu, Unitakase dhambi zangu.