Psalms 51:21 — Compare Translations
2 translations compared side by side
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha utapendezwana ng'ombe za tambiko zilizo za kweli, ni zile za kuchomwa motoni nazo za kuteketezwa nzima; hapo ndipo, watakapokupelekea ng'ombe mezani pako pa kutambikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu utapendezwa na sadaka za haki: ndizo sadaka za kuteketezwa na za kuteketezwa nzima. Ngombe dume watatolewa juu ya mazabahu yako.