Psalms 51:3 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nakiri kabisa makosa yangu, daima naiona waziwazi dhambi yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana najua makosa yangu, na dhambi yangu iko mbele yangu daima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana nimejua mimi makosa yangu Na dhambi yangu i mbele yangu daima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nakiri kabisa makosa yangu, daima naiona waziwazi dhambi yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana ninajua makosa yangu, na dhambi yangu iko mbele yangu daima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana ninajua makosa yangu, na dhambi yangu iko mbele yangu daima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana nimejua mimi makosa yangu Na dhambi yangu iko mbele yangu daima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nakiri kabisa makosa yangu, daima naiona waziwazi dhambi yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana nimejua mimi makosa yangu Na dhambi yangu i mbele yangu daima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unihurumie, ee Mungu, kadiri ya wema wako; uyafute makosa yangu, kadiri ya wingi wa rehema yako.