Psalms 51:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimekukosea wewe peke yako, nimetenda yaliyo mabaya mbele yako. Uamuzi wako ni wa haki hukumu yako haina lawama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Dhidi yako, wewe peke yako, nimetenda dhambi na kufanya yaliyo mabaya machoni pako, ili uthibitike kuwa wa kweli unaponena, na kuwa na haki unapotoa hukumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimekutenda dhambi Wewe peke yako, Na kufanya maovu mbele za macho yako. Wewe ujulikane kuwa una haki unenapo, Na kuwa safi utoapo hukumu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimekukosea wewe peke yako, nimetenda yaliyo mabaya mbele yako. Uamuzi wako ni wa haki hukumu yako haina lawama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Dhidi yako, wewe peke yako, nimetenda dhambi na kufanya yaliyo mabaya machoni pako, ili uthibitike kuwa mkweli unenapo na kuwa na haki utoapo hukumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Dhidi yako, wewe peke yako, nimetenda dhambi na kufanya yaliyo mabaya machoni pako, ili uthibitike kuwa wa kweli unenapo, na kuwa na haki utoapo hukumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimekutenda dhambi Wewe peke yako, Na kufanya maovu mbele za macho yako. Wewe ujulikane kuwa una haki unenapo, Na kuwa safi utoapo hukumu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimekukosea wewe peke yako, nimetenda yaliyo mabaya mbele yako. Uamuzi wako ni wa haki hukumu yako haina lawama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kaza kuniogesha, manza, nilizozikora, zinitoke! Kusudi makosa yangu yaondoke kwangu, na unitakase!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimekutenda dhambi Wewe peke yako, Na kufanya maovu mbele za macho yako. Wewe ujulikane kuwa una haki unenapo, Na kuwa safi utoapo hukumu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unisafishe kabisa kosa langu; unitakase zambi yangu.