Psalms 51:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi ni mkosefu tangu kuzaliwa kwangu, mwenye dhambi tangu tumboni mwa mama yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika mimi nilizaliwa mwenye dhambi, mwenye dhambi tangu nilipotungwa mimba kwa mama yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, mimi naliumbwa katika hali ya uovu; Mama yangu alinichukua mimba hatiani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi ni mkosefu tangu kuzaliwa kwangu, mwenye dhambi tangu tumboni mwa mama yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika mimi nilizaliwa mwenye dhambi, mwenye dhambi tangu nilipotungwa mimba kwa mama yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika mimi nilizaliwa mwenye dhambi, mwenye dhambi tangu nilipotungwa mimba kwa mama yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, nilizaliwa nikiwa na hatia; Mama yangu alinichukua mimba nikiwa na dhambi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi ni mkosefu tangu kuzaliwa kwangu, mwenye dhambi tangu tumboni mwa mama yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mapotovu yangu ninayajua, nayo makosa yangu ninayatazama siku zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, mimi naliumbwa katika hali ya uovu; Mama yangu alinichukua mimba hatiani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninaitikia kabisa makosa yangu, siku zote ninaona waziwazi zambi yangu.