Psalms 51:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe wataka unyofu wa ndani; hivyo nifundishe hekima moyoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika wewe wapendezwa na kweli inayotoka moyoni; wanifundisha hekima ndani ya moyo wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, wapendezwa na kweli iliyo moyoni; Nawe utanijulisha hekima kwa siri,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe wataka unyofu wa ndani; hivyo nifundishe hekima moyoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika wewe wapendezwa na kweli itokayo moyoni, ndani sana ya moyo wangu wanifundisha hekima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika wewe wapendezwa na kweli itokayo moyoni, ndani sana ya moyo wangu wanifundisha hekima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, wapendezwa na kweli iliyo moyoni; Nawe utanifundisha hekima kwa siri,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe wataka unyofu wa ndani; hivyo nifundishe hekima moyoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe peke yako ndiwe, ambaye nimemkosea, nikayafanya yaliyo mabaya machoni pako; sharti wongofu wako utokezwe na maneno yako, nayo maamuzi yako yakutokeze kuwa mtakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, wapendezwa na kweli iliyo moyoni; Nawe utanijulisha hekima kwa siri,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimekukosea wewe peke yako, nimetenda mabaya mbele yako. Hivi uamuzi wako ni wa haki, hukumu yako haipotoki.