Psalms 51:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nijaze furaha na shangwe, nifurahishe tena, mimi ambaye uliniponda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unipe kusikia furaha na shangwe, mifupa uliyoiponda na ifurahi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Unifanye kusikia furaha na shangwe, Mifupa uliyoiponda ifurahi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nijaze furaha na shangwe, nifurahishe tena, mimi ambaye uliniponda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unipe kusikia furaha na shangwe, mifupa uliyoiponda na ifurahi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unipe kusikia furaha na shangwe, mifupa uliyoiponda na ifurahi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Unifanye kusikia furaha na shangwe, Mifupa uliyoiponda ifurahi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nijaze furaha na shangwe, nifurahishe tena, mimi ambaye uliniponda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wewe unapendezwa nayo ya kweli, yakiwa ndani moyoni; unifunze, hata mambo yajifichayo yanielekee.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Unifanye kusikia furaha na shangwe, Mifupa uliyoiponda ifurahi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe unataka moyo wa ukweli; hivyo unifundishe kuwa na moyo wa hekima.