Psalms 52:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji. Utenzi wa Daudi baada ya Doegi, Mwedomu, kumwendea Shauli na kumjulisha kuwa Daudi amekwenda nyumbani kwa Abimeleki) Mbona, ewe jitu, wajivunia ubaya wako dhidi ya wenye kumcha Mungu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ewe jitu, mbona unajivunia ubaya? Kwa nini unajivuna mchana kutwa, wewe ambaye ni fedheha mbele za Mungu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa nini kujisifia uovu, Ewe jabari? Wema wa Mungu upo sikuzote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbona, ewe jitu, wajivunia ubaya wako dhidi ya wenye kumcha Mungu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Utenzi Wa Daudi Baada Ya Doegi, Mwedomu, Kumwendea Sauli Na Kumjulisha Kuwa Daudi Amekwenda Nyumbani Kwa Abimeleki) Ewe jitu, mbona unajivunia ubaya? Kwa nini unajivuna mchana kutwa, wewe ambaye ni fedheha mbele za Mungu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ewe jitu, mbona unajivunia ubaya? Kwa nini unajivuna mchana kutwa, wewe ambaye ni fedheha mbele za Mungu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa nini kujisifia uovu, Ewe jabari? Wema wa Mungu upo siku zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbona, ewe jitu, wajivunia ubaya wako dhidi ya wenye kumcha Mungu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa mwimbishaji. Fundisho la Dawidi; alilitunga, Mwedomu Doegi alipokwenda kumpasha Sauli habari na kumwambia: Dawidi ameingia nyumbani mwa Ahimeleki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa nini kujisifia uovu, Ewe jabari? Wema wa Mungu upo sikuzote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Mashairi ya Daudi yanayoelekea wakati Doegi wa Edomu alipomwendea Saulo na kumujulisha kwamba Daudi amemwendea Ahimeleki.