Psalms 52:11 — Compare Translations
2 translations compared side by side
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitakushukuru kale na kale kwa matendo yako, nitalingojea Jina lako lipendezalo kwao wakuchao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, nitakushukuru siku zote, kwa ajili ya mambo uliyofanya. Nitatangaza kwamba wewe ni muzuri, mbele ya watu wako waaminifu.