Psalms 52:2 — Compare Translations

9 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila wakati unawaza maangamizi; ulimi wako ni kama wembe mkali! Unafikiria tu kutenda mabaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulimi wako hupanga mashauri mabaya ya maangamizi. Ni kama wembe mkali, ninyi mnaofanya hila.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ulimi wako watunga madhara, Kama wembe mkali, Ewe mwenye hila
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila wakati unawaza maangamizi; ulimi wako ni kama wembe mkali! unafikiria tu kutenda mabaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ulimi wako hupanga mashauri mabaya ya maangamizi, ni kama wembe mkali, ninyi mfanyao hila.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ulimi wako hupanga mashauri mabaya ya maangamizi. Ni kama wembe mkali, ninyi mfanyao hila.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ulimi wako watunga madhara, Kama wembe mkali, Ewe mwenye hila.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila wakati unawaza maangamizi; ulimi wako ni kama wembe mkali! Unafikiria tu kutenda mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ulimi wako watunga madhara, Kama wembe mkali, Ewe mwenye hila