Psalms 52:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe wapenda uovu kuliko wema, wapenda uongo kuliko ukweli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unapenda mabaya kuliko mema, uongo kuliko kusema kweli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umependa mabaya kuliko mema, Na uongo kuliko kusema kweli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe wapenda uovu kuliko wema, wapenda uongo kuliko ukweli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unapenda mabaya kuliko mema, uongo kuliko kusema kweli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unapenda mabaya kuliko mema, uongo kuliko kusema kweli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umependa mabaya kuliko mema, Na uongo kuliko kusema kweli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe wapenda uovu kuliko wema, wapenda uongo kuliko ukweli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Unajivuniaje ubaya, wewe jitu? Upole wake Mungu uko siku zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umependa mabaya kuliko mema, Na uongo kuliko kusema kweli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbona, ewe jitu, unajivunia mabaya unayotendea waaminifu.