Psalms 52:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ewe mdanganyifu mkuu, wapenda mambo ya kuangamiza wengine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unapenda kila neno lenye kudhuru, ewe ulimi wenye hila!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umependa maneno yote ya kupoteza watu, Ewe ulimi wenye hila.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ewe mdanganyifu mkuu, wapenda mambo ya kuangamiza wengine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unapenda kila neno lenye kudhuru, ewe ulimi wenye hila!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unapenda kila neno lenye kudhuru, ewe ulimi wenye hila!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umependa maneno yote ya kupoteza watu, Ewe ulimi wenye hila.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ewe mdanganyifu mkuu, wapenda mambo ya kuangamiza wengine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ulimi wako huwaza, jinsi utakavyoangamiza, unafanana na wembe mkali, wewe mfanya madanganyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umependa maneno yote ya kupoteza watu, Ewe ulimi wenye hila.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila wakati unawaza maangamizi. Ulimi wako ni kama wembe mukali. Unafikiria tu kutenda mabaya.