Psalms 53:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wote wamekosa, wote wamepotoka pamoja, hakuna atendaye mema, hakuna hata mmoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila mmoja amegeukia mbali, wameharibika wote pamoja, hakuna atendaye mema. Naam, hakuna hata mmoja!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila mtu amepotoka, wameoza wote pamoja, Hakuna atendaye mema, La! Hata mmoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wote wamekosa, wote wamepotoka pamoja, hakuna atendaye mema, hakuna hata mmoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila mmoja amegeukia mbali, wameharibika wote pamoja, hakuna hata mmoja atendaye mema, naam! Hata mmoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila mmoja amegeukia mbali, wameharibika wote pamoja, hakuna atendaye mema. Naam, hakuna hata mmoja!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila mtu amepotoka, wameoza wote pamoja, Hakuna atendaye mema, La! Hata mmoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wote wamekosa, wote wamepotoka pamoja, hakuna atendaye mema, hakuna hata mmoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu huchungulia toka mbinguni, awatazame wana wa watu, aone, kama yuko mwenye akili anayemtafuta Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila mtu amepotoka, wameoza wote pamoja, Hakuna atendaye mema, La! Hata mmoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu anawaangalia wanadamu kutoka mbinguni, aone kama kuna yeyote mwenye akili kama kuna yeyote anayemutafuta Mungu.