Psalms 53:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Je, hao watendao maovu hawana akili? Wanawatafuna watu wangu kama mikate; wala hawanijali mimi Mungu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, watendao maovu kamwe hawatajifunza: wale ambao huwala watu wangu kama watu walavyo mkate, hao ambao hawamwiti Mungu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Wafanyao maovu hawajui? Walao watu wangu kama walavyo mkate, Hawakumwita MUNGU.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Je, hao watendao maovu hawana akili? Wanawatafuna watu wangu kama mikate; wala hawanijali mimi Mungu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, watendao mabaya kamwe hawatajifunza, wale ambao huwala watu wangu kama watu walavyo mkate, na ambao hawamwiti Mungu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, watendao mabaya kamwe hawatajifunza: wale ambao huwala watu wangu kama watu walavyo mkate, hao ambao hawamwiti Mungu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Wafanyao maovu hawajui? Walao watu wangu kama walavyo mkate, Hawakumwita MUNGU.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Je, hao watendao maovu hawana akili? Wanawatafuna watu wangu kama mikate; wala hawanijali mimi Mungu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wote pamoja walirudi nyuma, wote ni waovu, hakuna anayefanya mema, hakuna hata mmoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Wafanyao maovu hawajui? Walao watu wangu kama walavyo mkate, Hawakumwita MUNGU.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wote wamekosa, wote wamepotoka pamoja; hakuna anayetenda mazuri, hakuna hata mumoja.