Psalms 53:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo watashikwa na hofu kubwa, hofu ambayo hawajapata kuiona; maana Mungu ataitawanya mifupa ya adui, hao wataaibika maana Mungu amewakataa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hapo waliingiwa na hofu kuu, ambapo hapakuwa na hofu. Mungu alitawanya mifupa ya wale waliokushambulia; uliwaaibisha, kwa sababu Mungu aliwadharau.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapo waliingiwa na hofu pasipokuwapo hofu, Maana Mungu ameitawanya mifupa yake aliyekuhusuru. Umewatia aibu, Kwa sababu MUNGU amewadharau.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo watashikwa na hofu kubwa, hofu ambayo hawajapata kuiona; maana Mungu ataitawanya mifupa ya adui, hao wataaibika maana Mungu amewakataa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hapo watatetemeka kwa hofu kuu, ambapo hakuna cha kutetemesha. Mungu alitawanya mifupa ya wale waliokushambulia; umewaaibisha, kwa sababu Mungu amewadharau.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hapo waliingiwa na hofu kuu, ambapo hapakuwa cha kutetemesha. Mungu alitawanya mifupa ya wale waliokushambulia; uliwaaibisha, kwa sababu Mungu aliwadharau.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapo waliingiwa na hofu pasipokuwapo hofu, Maana Mungu ameitawanya mifupa yake aliyekuhusuru. Umewatia aibu, Kwa sababu MUNGU amewadharau.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo watashikwa na hofu kubwa, hofu ambayo hawajapata kuiona; maana Mungu ataitawanya mifupa ya adui, hao wataaibika maana Mungu amewakataa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Wale wote wafanyao maovu hawataki kujitambua, wao wanaowala walio ukoo wangu, kama walavyo mkate? Lakini Mungu hawamtambikii!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapo waliingiwa na hofu pasipokuwapo hofu, Maana Mungu ameitawanya mifupa yake aliyekuhusuru. Umewatia aibu, Kwa sababu MUNGU amewadharau.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao wanaotenda maovu hawajui kitu? Wanatafuna watu wangu kama mikate; wala hawajali Mungu.