Psalms 53:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Laiti ukombozi wa Israeli ungefika kutoka Siyoni! Mungu atakaporekebisha hali ya watu wake, wazawa wa Yakobo watashangilia; Waisraeli watafurahi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Laiti wokovu wa Israeli ungekuja kutoka Sayuni! Mungu anaporejesha wafungwa wa watu wake, Yakobo na ashangilie, Israeli na afurahi!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Laiti wokovu wa Israeli utoke katika Sayuni! MUNGU awarudishapo wafungwa wa watu wake; Yakobo atashangilia, Israeli atafurahi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Laiti ukombozi wa Israeli ungefika kutoka Siyoni! Mungu atakaporekebisha hali ya watu wake, wazawa wa Yakobo watashangilia; Waisraeli watafurahi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Laiti wokovu wa Israeli ungalikuja kutoka Sayuni! Wakati Mungu arejeshapo wafungwa wa watu wake, Yakobo na ashangilie, Israeli na afurahi!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Laiti wokovu wa Israeli ungalikuja kutoka Sayuni! Wakati Mungu arejeshapo wafungwa wa watu wake, Yakobo na ashangilie, Israeli na afurahi!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Laiti wokovu wa Israeli utoke katika Sayuni! MUNGU awarudishapo wafungwa wa watu wake; Yakobo atashangilia, Israeli atafurahi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Laiti ukombozi wa Israeli ungefika kutoka Siyoni! Mungu atakaporekebisha hali ya watu wake, wazawa wa Yakobo watashangilia; Waisraeli watafurahi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Patafika, watakapotetemeka kwa kustuka mastuko yasiyokuwa bado, kwa kuwa Mungu ataitapanya mifupa yao waliokuvizia, kwa kuwa Mungu atakuwa amewatupa, atawatia soni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Laiti wokovu wa Israeli utoke katika Sayuni! MUNGU awarudishapo wafungwa wa watu wake; Yakobo atashangilia, Israeli atafurahi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo watashikwa na hofu, hofu ambayo hawajapata kuiona; maana Mungu ataitawanya mifupa ya waadui, hao watafezeheka maana Mungu amewakataa.