Psalms 54:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji: Na ala za nyuzi za muziki. Utenzi wa Daudi wakati mtu mmoja kutoka Zifu alipomwendea Shauli na kumjulisha kuwa Daudi amejificha kwao.) Uniokoe, ee Mungu, kwa jina lako; unitetee kwa nguvu yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu uniokoe kwa jina lako, unifanyie hukumu kwa uwezo wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, kwa jina lako uniokoe, Na kwa uweza wako unifanyie hukumu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uniokoe, ee Mungu, kwa jina lako; unitetee kwa nguvu yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji Na Ala Za Nyuzi Za Uimbaji. Utenzi Wa Daudi Wakati Mtu Mmoja Wa Zifu Alipomwendea Sauli Na Kumjulisha Kuwa Daudi Amejificha Kwao) Ee Mungu uniokoe kwa jina lako, unifanyie hukumu kwa uwezo wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu uniokoe kwa jina lako, unifanyie hukumu kwa uwezo wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, kwa jina lako uniokoe, Na kwa uweza wako unifanyie hukumu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uniokoe, ee Mungu, kwa jina lako; unitetee kwa nguvu yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa mwimbishaji. Fundisho la Dawidi la kuimbia mazeze; alilitunga hapo, watu wa Zifu walipokwenda kumwambia Sauli: Hujui, ya kuwa Dawidi amejificha kwetu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, kwa jina lako uniokoe, Na kwa uweza wako unifanyie hukumu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji: kwa vyombo vyenye nyuzi. Mashairi ya Daudi, yanayoelekea wakati mutu mumoja kutoka Zifu alipomwendea Saulo na kumujulisha kwamba Daudi amejificha kwao.