Psalms 54:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wenye kiburi wananishambulia; wakatili wanayawinda maisha yangu, watu ambao hawamjali Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wageni wananishambulia, watu wakatili wanayatafuta maisha yangu, watu wasiomjali Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana wageni wamenishambulia; Watu watishao wananitafuta nafsi yangu; Hawakumweka Mungu mbele yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wenye kiburi wananishambulia; wakatili wanayawinda maisha yangu, watu ambao hawamjali Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wageni wananishambulia, watu wakatili wanayatafuta maisha yangu, watu wasiomjali Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wageni wananishambulia, watu wakatili wanayatafuta maisha yangu, watu wasiomjali Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana wageni wamenishambulia; Watu watishao wananitafuta nafsi yangu; Hawakumweka Mungu mbele yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wenye kiburi wananishambulia; wakatili wanayawinda maisha yangu, watu ambao hawamjali Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu, kwa ajili ya Jina lako niokoe! Kwa nguvu zako kuu niamulie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana wageni wamenishambulia; Watu watishao wananitafuta nafsi yangu; Hawakumweka Mungu mbele yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, uniokoe kwa jina lako, unitetee kwa nguvu zako.