Psalms 54:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Najua Mungu ni msaada wangu, Mwenyezi-Mungu hutegemeza maisha yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika Mungu ni msaada wangu, Bwana ndiye anayenitegemeza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, Mungu ndiye anayenisaidia; Bwana ndiye anayenitegemeza nafsi yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Najua Mungu ni msaada wangu, Mwenyezi-Mungu hutegemeza maisha yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika Mungu ni msaada wangu, Bwana ndiye anayenitegemeza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika Mungu ni msaada wangu, Bwana ndiye anayenitegemeza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, Mungu ndiye anayenisaidia; Bwana ndiye anayenitegemeza nafsi yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Najua Mungu ni msaada wangu, Mwenyezi-Mungu hutegemeza maisha yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu, maombo yangu yasikie na kuyasikiliza maneno ya kinywa changu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, Mungu ndiye anayenisaidia; Bwana ndiye anayenitegemeza nafsi yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, usikilize maombi yangu; uyategee sikio maneno ya kinywa changu.