Psalms 54:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye atawaadhibu maadui zangu kwa uovu wao wenyewe; kwa uaminifu wako, ee Mungu, uwaangamize.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mabaya na yawarudie wale wanaonisingizia, kwa uaminifu wako uwaangamize.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atawarudishia adui zangu ubaya wao; Uwaangamize kwa uaminifu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye atawaadhibu maadui zangu kwa uovu wao wenyewe; kwa uaminifu wako, ee Mungu, uwaangamize.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mabaya na yawarudie wale wanaonisingizia, kwa uaminifu wako uwaangamize.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mabaya na yawarudie wale wanaonisingizia, kwa uaminifu wako uwaangamize.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atawarudishia adui zangu ubaya wao; Uwaangamize kwa uaminifu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye atawaadhibu maadui zangu kwa uovu wao wenyewe; kwa uaminifu wako, ee Mungu, uwaangamize.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wasio wa kwetu wameniinukia, wanaitafuta roho yangu wao wakorofi, lakini yeye aliye Mungu hawamtazami.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atawarudishia adui zangu ubaya wao; Uwaangamize kwa uaminifu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wenye kiburi wananishambulia, watu wakali wanawinda maisha yangu, watu ambao hawamujali Mungu.