Psalms 54:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakutolea tambiko kwa moyo mkunjufu; nitakushukuru kwa kuwa ni vema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitakutolea dhabihu za hiari; Ee Mwenyezi Mungu, nitalisifu jina lako kwa kuwa ni vyema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa ukunjufu wa moyo nitakutolea dhabihu; Ee Bwana, nitalishukuru jina lako, maana ni jema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakutolea tambiko kwa moyo mkunjufu; nitakushukuru kwa kuwa ni vema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitakutolea dhabihu za hiari; Ee BWANA, nitalisifu jina lako kwa kuwa ni vyema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitakutolea dhabihu za hiari; Ee bwana, nitalisifu jina lako kwa kuwa ni vyema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa ukunjufu wa moyo nitakutolea dhabihu; Ee BWANA, nitalishukuru jina lako, maana ni jema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakutolea tambiko kwa moyo mkunjufu; nitakushukuru kwa kuwa ni vema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninajua: Mungu ndiye anayenisaidia, ndiye anayeishikiza roho yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa ukunjufu wa moyo nitakutolea dhabihu; Ee BWANA, nitalishukuru jina lako, maana ni jema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninajua Mungu ni musaada wangu, Yawe anaimarisha maisha yangu.