Psalms 54:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana umeniokoa katika taabu zangu zote, nami nimewaona maadui zangu wameshindwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana ameniokoa katika shida zangu zote, na macho yangu yamewatazama adui zangu kwa ushindi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa limeniokoa na kila taabu; Na jicho langu limeridhika Kwa kuwatazama adui zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana umeniokoa katika taabu zangu zote, nami nimewaona maadui zangu wameshindwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana ameniokoa kutoka katika shida zangu zote, macho yangu yameona kwa furaha ushindi dhidi ya adui zangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana ameniokoa katika shida zangu zote, na macho yangu yamewatazama adui zangu kwa ushindi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa limeniokoa na kila taabu; Na jicho langu limeridhika Kwa kuwatazama adui zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana umeniokoa katika taabu zangu zote, nami nimewaona maadui zangu wameshindwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uwarudishie ubaya wao waninyatiao! Kwa maana u mkweli uwamalize!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa limeniokoa na kila taabu; Na jicho langu limeridhika Kwa kuwatazama adui zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye atawaazibu waadui zangu kwa uovu wao wenyewe; kwa uaminifu wako, ee Mungu, uwaangamize.