Psalms 54:8 — Compare Translations

2 translations compared side by side

Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nitakutolea ng'ombe za tambiko kwa kupendezwa, nitalishukuru Jina lako kuwa lenye wema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakutolea sadaka kwa moyo wa furaha; nitalisifu jina lako maana wewe ni muzuri.