Psalms 54:9 — Compare Translations

2 translations compared side by side

Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani katika masongano yote umeniopoa, macho yangu yakapata kuwafurahia wachukivu wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umeniokoa katika taabu zangu zote, nami nimewaona waadui zangu wameshindwa.