Psalms 55:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji: Na ala za nyuzi za muziki. Utenzi wa Daudi) Ee Mungu, tega sikio usikie sala yangu; usiangalie pembeni ninapokuomba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, sikiliza maombi yangu, wala usidharau hoja yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, uisikilize sala yangu, Wala usijifiche nikuombapo rehema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mungu, tega sikio usikie sala yangu; usiangalie pembeni ninapokuomba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Na Ala Za Uimbaji. Utenzi Wa Daudi) Ee Mungu, sikiliza maombi yangu, wala usidharau hoja yangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, sikiliza maombi yangu, wala usidharau hoja yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, uisikilize sala yangu, Wala usijifiche nikuombapo rehema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mungu, tega sikio usikie sala yangu; usiangalie pembeni ninapokuomba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa mwimbishaji. Fundisho la Dawidi la kuimbia mazeze.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, uisikilize sala yangu, Wala usijifiche nikuombapo rehema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka kwa mukubwa wa waimbaji: kwa vyombo vyenye nyuzi. Mashairi ya Daudi.