Psalms 55:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
vikiuzunguka usiku na mchana, na kuujaza maafa na jinai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiku na mchana wanazunguka juu ya kuta zake, uovu na dhuluma vimo ndani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mchana na usiku huzunguka kutani mwake; Uovu na taabu zimo ndani yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
vikiuzunguka usiku na mchana, na kuujaza maafa na jinai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiku na mchana wanazunguka juu ya kuta zake, uovu na dhuluma vimo ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiku na mchana wanazunguka juu ya kuta zake, uovu na dhuluma vimo ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mchana na usiku huzunguka kutani mwake; Uovu na taabu zimo ndani yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
vikiuzunguka usiku na mchana, na kuujaza maafa na jinai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waangamize Bwana, ukiwavuruga, wapitane wanaposema, kwani mjini mimeona makorofi na magomvi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mchana na usiku huzunguka kutani mwake; Uovu na taabu zimo ndani yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Bwana, uwaangamize na kuvuruga luga yao, maana ninaona mateso ya ukali na ugomvi katika muji,