Psalms 55:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uharibifu umeenea pote mjini, uhasama na udhalimu kila mahali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nguvu za uharibifu zinatenda kazi mjini, vitisho na uongo haviondoki mitaani mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tamaa mbaya zimo ndani yake; Dhuluma na hila haziondoki mitaani mwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uharibifu umeenea pote mjini, uhasama na udhalimu kila mahali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nguvu za uharibifu zinatenda kazi mjini, vitisho na uongo haviondoki mitaani mwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nguvu za uharibifu zinatenda kazi mjini, vitisho na uongo haviondoki mitaani mwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tamaa mbaya zimo ndani yake; Dhuluma na hila haziondoki mitaani mwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uharibifu umeenea pote mjini, uhasama na udhalimu kila mahali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mchana kutwa na usiku kucha huzungukia kwenye maboma yake, lakini mjini mna mapotovu na maumivu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tamaa mbaya zimo ndani yake; Dhuluma na hila haziondoki mitaani mwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
vikiuzunguka muchana na usiku, na kuujaza hasara na ukorofi.