Psalms 55:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama adui yangu angenitukana, ningeweza kustahimili hayo; kama mpinzani wangu angenidharau, ningeweza kujificha mbali naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama aliyenitukana ni adui yangu, ningevumilia, kama mtu mwovu angejiinua dhidi yangu, ningejificha asinione.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana aliyetukana si adui; Kama ndivyo, ningevumilia. Aliyejitukuza juu yangu siye anichukiaye; Kama ndivyo, ningejificha asinione.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama adui yangu angenitukana, ningeweza kustahimili hayo; kama mpinzani wangu angenidharau, ningeweza kujificha mbali naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama aliyenitukana ni adui yangu ningevumilia, kama mtu mwovu angejiinua dhidi yangu, ningejificha asinione.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama aliyenitukana ni adui yangu, ningevumilia, kama mtu mwovu angejiinua dhidi yangu, ningejificha asinione.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana si adui aliyenitukana; Kama ndivyo, ningevumilia. Aliyejitukuza juu yangu siye anichukiaye; Kama ndivyo, ningejificha asinione.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama adui yangu angenitukana, ningeweza kustahimili hayo; kama mpinzani wangu angenidharau, ningeweza kujificha mbali naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mle mjini mnaangamika, unyang'anyi na udanganyifu hauondoki katika mitaa yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana aliyetukana si adui; Kama ndivyo, ningevumilia. Aliyejitukuza juu yangu siye anichukiaye; Kama ndivyo, ningejificha asinione.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uharibifu umeenea popote katika muji, maovu na mapotovu kila pahali.