Psalms 55:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kumbe, lakini, ni wewe mwenzangu; ni wewe rafiki yangu na msiri wangu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kumbe ni wewe, mwenzangu, mshiriki na rafiki yangu wa karibu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali ni wewe, mtu mwenzangu, Rafiki yangu, niliyejuana nawe sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kumbe, lakini, ni wewe mwenzangu; ni wewe rafiki yangu na msiri wangu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kumbe ni wewe, mwenzangu, mshiriki na rafiki yangu wa karibu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kumbe ni wewe, mwenzangu, mshiriki na rafiki yangu wa karibu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali ni wewe, mtu mwenzangu, Rafiki yangu, niliyejuana nawe sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kumbe, lakini, ni wewe mwenzangu; ni wewe rafiki yangu na msiri wangu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena anayenitukana siye adui yangu, ningevumilia, wala siye mchukivu wangu anayejikuza, aninyenyekeze; kama ndiye, ningejificha, asinione.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali ni wewe, mtu mwenzangu, Rafiki yangu, niliyejuana nawe sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama adui yangu angenitukana, ningeweza kuvumilia hayo; kama mupinzani wangu angenizarau, ningeweza kujificha mbali naye.