Psalms 55:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sisi tulizoea kuzungumza kirafiki; pamoja tulikwenda nyumbani kwa Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambaye awali tulifurahia ushirika mzuri, tulipokuwa tukienda na umati hekaluni mwa Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tulipeana shauri tamu; na kutembea Nyumbani mwa Mungu pamoja na mkutano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sisi tulizoea kuzungumza kirafiki; pamoja tulikwenda nyumbani kwa Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambaye wakati fulani tulifurahia ushirika mzuri tulipokuwa tukienda katikati ya umati hekaluni mwa Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambaye awali tulifurahia ushirika mzuri, tulipokuwa tukienda na umati hekaluni mwa Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tumehusiana vizuri; na kutembea Nyumbani mwa Mungu pamoja na mkutano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sisi tulizoea kuzungumza kirafiki; pamoja tulikwenda nyumbani kwa Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila ndiwe wewe mwenzangu, ambaye tuliliana damu, tena ulikuwa mwenyeji wangu mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tulipeana shauri tamu; na kutembea Nyumbani mwa Mungu pamoja na mkutano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini, kumbe ni wewe mwenzangu; ni wewe rafiki yangu wa kweli!